اقتباس:
Originally posted by tamosu
UTUKUFU WA MWEZI WA RAMADHANI
BISMILLAHI RRAHMAN RRAHEEM
Mwezi wa Ramadhani ni mwezi Mtukufu sana, na kama
inavyoelezwa kuwa
umegawika katika makumi matatu (3) muhimu sana,
ambayo kila Muislamu
anatakiwa kuzidisha ibada, zikiwemo sala za sunna,
Qurani, sadaka na mengi
mengineyo yatakayo muwezesha kupata Rehma za Mola
wetu na maombezi kutoka
kwa Mtume wetu (SAW).
Mbali ya ibada zilizotajwa pia kuna hizi swala
ambazo ni vizuri kila Muislam
ajitahidi kutelekeza
|
طلعت صحيح زنجباري
لذاك جميع ردودك لا تفتهم
عادي ..... عادي خليك طبيعي راح اركز كثير في ردودك القادمه لعلي استطيع فهمها
شكرا لك